Na, Lusajo Frank DSJ 


Klabu ya Fulham imepokea kipigo cha magoli matatu kwa sifuri kutoka kwa Aston villa, katika dimba la nyumbani Craven Cottage.


Fulham wanapoteza mchezo wa tatu mfululizo na kusalia na katika nafasi ya 20 katika msimamo wa ligi huku wakiwa na pointi sifuri.


Aston wamefanikiwa kupata ushindi katika michezo miwili mfululizo huku wakiwa na pointi sita wakiwa katika nafasi ya nne ya msimamo wa ligi.


Magoli ya Aston villa yalifungwa na Jack Grealish dk 4, C Hourihane dk 15 na T Mings dk 48.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...