Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Makoga Jimbo la Wanging’ombe Wilaya ya Makete alipokuwa njiani akielekea Makete Mjijni kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM

  

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Ikonda Tandala Makete alipokuwa njiani akielekea Jimbo la Makete Mjini kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 21,2020.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)   

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...