RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamuhri ya Watu wa China anayefanyia Kazi Zanzibar Mhe.Xie Xiaowu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, kwa mazungumza na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake  Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar, mazungumzo  hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanya Kazi zake Zanzibar.Mhe. Xie Xiaowu, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiagana na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xiaowu, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumuaga.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...