WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari wa Unguja na Pemba wakishangilia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya  Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa mpira wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar, baada ya kupokea
maandamani ya Wanafunzi wa Skuli za Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza  jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa katika hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila ya Malipo Zanzibar, lililofanyika katika uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya  Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Dkt.Eng. Idriss Muslim Hijja, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya

Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika

katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.

Ali Mohamed Shein. akiwapungia mkono Wanafunzi wanaoshiriki katika

maandamano ya kuadhimisha Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo

lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar  na (kulia

kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi

na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.

Riziki Pembe.(Picha na Ikulu)

VIONGOZI wa Serikali na Chama wakifuatilia hutuba ya

Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar, wakati Rais

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed

Shein, (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Mao Tse Tung

Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Unguja na Pemba wakiwa katika

Uwanja wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya mgeni

rasmin wakati wa Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo

lililofanyika katika leo 23/9/2020, wakati Rais wa  Zanzibar na

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo

pichani) akihutubia tamasha hilo.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe
akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Tamasha la 56 la Elimu Bila
Malipo Zanzibar lililofanyika katika Uwanja wa Mao Tse Tung  Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WANAFUNZI wa Skuli za Unguja na Pemba wakimsikiliza mgeni

rasmin  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.

Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akihutubia katika maadhimisho ya

Tamasha la 56 la Elimu Bila Malipo Zanzibar lililofanyika katika uwanja

wa Mao Tse Tung Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...