Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, George Simbachawene akikabidhi Kompyuta mpakato (Laptops) kwa wanafunzi mbalimbali waliojishindia zawadi kwa kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa mazingira wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma.
 
Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom  Tanzania Foundation , Sandra Oswald akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma, Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation  ilitoa zawadi za kompyuta  tano zenye thamani ya zaidi ya Tsh.13 milioni kwa ajili ya zawadi kwa  washindi wa kitaifa wa shindano la kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa  mazingira .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...