Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbagala Lusubilo Mwakabibi, amemtangaza Mgombea Ubunge Jimbo hilo Kupitia CCM Abdallah Chaurembo kuwa  mshindi kwa kupata kura 283,000 akifuatiwa na Hadija Mwago (CHADEMA) mwenye kura 13,985 na Kondo Bungo (ACT) kura 3856.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...