Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akisoma hotuba yake kwa wahitimu kwenye mahafali ya 42 ya Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam. CAG alimwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Profesa Isaya Jairo  akizungumzia mafanikio pamoja na changamoto zinazowakabili kwa Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akitolea ufafanuzi kuhusu Bodi hiyo inavyofanya kazi zake wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango aliyokuwa akiitoa kwa wahitimu hiyo kwenye mahafali ya 42 ya Bodi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akiwatunuku wahitimu wa  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Profesa Isaya Jairo
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakisoma viapo vyao wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakishangilia mara baada ya kutunukiwa kwenye mahafali ya 42 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akiwapingeza  na kuwapa zawadi baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akiwa kwenye picha za pamoja na baadhi ya wanafunzi waliohitimu mitihani ya  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 42 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa kwenye wakifanya maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akiongoza maandamano ya wahitimu wa  Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...