Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa baraka katika majukumu yake ya kazi na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo alisimama kuwasalimia Masista hao waliojipanga pembezoni mwa barabara leo tarehe 21 Oktoba 2020.




Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro) Sisters of our lady of Kilimanjaro Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo alisimama kuwasalimia Masista hao wa Kanisa Katoliki ambao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara leo tarehe 21 Oktoba 2020

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...