Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyiakishukuru baada ya  kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea MzeeMwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakikata utepe wakiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitembezwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika nyumba ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyiakishukuru baada ya  kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli. akimkabidhi mfano wa funguo Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan. Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba hiyo ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Abubakar Kunenge na Vijana wajenzi wa SUMA JKT wakati wa hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba Mzee Mwinyi  ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la  Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe akiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Ali Kikwete mtoto wa  Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt.Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt.Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache na kutoa maagizo kwa wakandarasi akiwa  na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza  Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuliakiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali kwa mujibu wa Sheria eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...