RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein akivipongeza Vikundi vya Taarab akipiga makofi wakati
wa hafla hiyo ya kupongezwa na kuagwa iliofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 23/10/2020
na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Vijana Sanaa Utamadunin na Michezo
Zanzibaer Mhe. Balozi Ali Karume.(Picha na Ikulu)

RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Zawadi Maalum ya Ganuni
iliotolewa na Vikundi vya Taarab Zanzibar, akikabidhiwa na Msanii
Mkongwe Zanzibar.Profesa Mohammed Ilyas,wakati wa hafla hiyo ya Taarab
Rasmin ilioandaliwa na Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar, iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana
usiku 23/10/2020.(Picha na Ikulu)

MSANII wa Kikundi cha Zanzibar One Bw.Nassor Hussein Matanoi,
akiimba wimbo wa “Hongera Dk Shein” wakati wa hafla ya Taarab Rasmin
ilioandaliwa na Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar, iliofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku
23/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein akihudhuria katika hafla ya Taraab Rasmin ya
kumpongeza ilioandaliwa na Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana
usiku 23/10/2020 na (kulia kwa Rais ) Makamu wa Rais wa Jamuhuri  ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Vijana Sanaa
Utamaduni na Michezo Mhe Balozi Ali Karume.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Makamu wa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,
wakimtunza Msanii wa Kikundi cha Culture Musical Club Msanii Fatma Dawa
Shehe akimbo wimbo wa “Tumtunze Dk.Shein “ wakati wa hafla ya Taarab
Maalum ilioandaliwa kwa ajili ya kumpongeza na kumuaga iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdul Wakili Kikwajuni Jijini Zanzibaer
jana usiku 23/10/2020.(Picha na Ikulu)MSANII wa Kikundi cha Mafunzo Bi. Husna Hassan Ali,
akiimba wimbo wa “Hongera Dk Shein” wakati wa hafla ya Taarab Rasmin
ilioandaliwa na Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar, iliofanyika katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku
23/10/2020.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...