Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Vallery Chamulungu akizungumza na wanahabari pamoja na waongoza ndege katika maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.

Katika Maadhimisho hayo Chama cha Waongoza ndege Tanzania (TATCA) kimefanya mafunzo mafupi ya kuwajengea uwezo wanahabari ikiwa ni pamoja na kutoa msaada wa vyereheni 4 pamoja na mashine ya kufuma katika Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam. Siku ya muongozaji ndege duniani huadhimishwa oktoba 20 kila mwaka.
 Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Usafiri wa Anga TCAA Redemptus Bugomola  akizungumza katika maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Kuongoza ndege (TCAA) Justin Ncheye akizungumza katika maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.
Waongozaji wa ndege wakifuatilia maadhimisho ya siku ya muongozaji ndege duniani iliyofanyika makao makuu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Chama cha Waongozaji ndege Tanzania (TATCA) Shukuru Nziku (kulia) akitoa msaada kwa Mkuu wa Gereza Kuu la Ukonga Salumu Manjawa (Kushoto) vyereheni 4 pamoja na mashine ya kufuma ili viweze kuwasaidia wafungwa kushona nguo zao. Wengine ni maaskari wa magereza na waongoza ndege.
Waongoza ndege na Askari wa Magereza wakiwa katika picha ya pamoja. 
Waongoza ndege wakiwa katika picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...