Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi funguo Bibi.Miza Haji Juma akiwa ni miongoni mwa Wananchi watakaoishi katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja kufuatia kuhamishwa katika makaazi yao ya awali kupisha ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Mafuta na Gesi Asilia,hafla hiyo ilifanyika leo katika viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa   Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo katika viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.

Baadhi ya wananchi wa maeneo jirani na Kijiji cha Dundua wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Ufunguzi wa  Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo  .[Picha na Ikulu] 24/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kufungua  Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha  na Ikulu] 24/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi msikiti katika  Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja leo.(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati mhe.salama Aboud Talib  na (kushoto) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Huduma za maji na Nishati (ZURA) Mama Zakia Melgji hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha  na Ikulu] 24/10/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo mara alipotembelea Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. baada ya  kuzifungua rasmi  hafla hiyo ilifanyika leo (kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati Mhe.salama Aboud Talib.[Picha  na Ikulu] 24/10/2020.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...