Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini Daud Mayeji amemtangaza Mgombea wa CCM Ummy Mwalimu kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo la Tanga Mjini amepata kura 114,445 sawa na Asilimia 93.8% na Mgombea wa CUF Mussa Mbarouk kura  7497 sawa na 6%.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...