Baadhi ya wanafunzi wa sekondari toka shule mbalilmbali  nchini  wakionyesha vyeti vyao vya kuhitimu mafunzo ya  ubunifu  wa Website   Women in Data Science  Dar es Salaam 2020  yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC. 
 Meneja  Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akiongea na  wahitimu wa   mafunzo ya ubunifu wa  Website “ Women in Data Science  Dar es Salaam 2020"   yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike  jijini Dar es Salaam.
Meneja  Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi  akibidhi zawadi ya begi  kwa Shamimu Mbaga ambaye ni mkuu wa kundi la  Mwalimu Careers Campany   akiwa na wenzake mara baada ya kuibuka washindi wa  kwanza  katika mafunzo ya ubunifu wa Website  “ Women in Data Science  Dar es Salaam 2020"   yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam.
Meneja  Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi (kulia) akimkabidhi  cheti cha kuitimu  mafunzo ya  Women in Data Science  Dar es Salaam 2020  kwa Alistidia Lusonzi  wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...