• Zaidi ya wanawake 12,000 kufaidika na vifaa vya uzazi



Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (kulia) akikabidhi moja ya mashine kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi  kwa Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mlele, Mh.Salehe Muhando mwishoni mwa wiki. Jumla ya vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 49 vilikabidhiwa kutoka Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation,  vifaa hivyo vitasaidia watoto uwezo wa kupumua, kuwaongezea joto na kuwapa tiba mwanga.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...