Sehemu ya wanachama wa  CCM  na wananchi wa  kata ya Mkuranga wakiwa katika mkutano wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega.

(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)

Wananchi wa kata ya Mkuranga  wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah ulega katika mkutamo wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mkuranga.

Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Abdallah Hamisi Ulega  akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapindunzi na Wananchi  kata ya Mkuranga  katika mkutano wa kampeni  ambapo amewaomba wachague wagombea wa (CCM) ili waendelee kupata mikopo isiyo na riba kwa inatotolewa na serikali ya amamu ya tano 
(Picha na Emmanuel Massaka Michuzi Tv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...