WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar  Mhe. Haroun Ali Suleiman akisaini hati ya makabidhiano 
ya Nyaraka za Kazi baada ya kukabidhiwa na  Waziri Mstaaf iliokuwa
Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika
katika ukumbi wa Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo
26/11/2020.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na
Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za
Kazi na Waziri Mstaaf iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu (kulia kwake)
hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo
Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala
Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na kutowa shukrani
kwa Waziri Mstaaf Mhe Issa Haji Gavu na Watendaji  wakati wa hafla ya
makabidhiano ya Nyaraka za Kazi  zilizofanyika katika ukumbi wa Wizara
hiyo Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na ( kulia kwake)
Waziri Mstaaf Mhe.Issa Haji Gavu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa
makabidhiano ya Nyaraka za Kazi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Wizara hiyo Mazizini Jijini Zanzibar.Tr.26/11/2020.(Picha na Ikulu)

WAZIRI Mstaafu iliyokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu  akizungumza wakati
wa hafla ya kukabidhi Nyaraka za Kazi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman
(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo
Mazizini Jijini Zanzibar leo 26/11/2020.(Picha na Ikulu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...