RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, hafla hiyo
ya kuapishwa imefanyika leo 3/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
aliyemteua hivi karibuni Mhe Salama Mbarouk Khatib, hafla hiyo ya
kuapishwa imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha
na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja
aliyemteua hivi karibuni Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020.(Picha
na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
aliyemteua hivi karibuni Mhe.Rashid Hadidu Rashid, hafla hiyo ya
kuapishwa imefanyika leo 3/12 /2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja aliyemteua hivi karibuni Mhe Idrisa Kitwana Mustafa, hafla hiyo
ya kuapishwa imefanyika leo 3/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kumaliza kuwaapisha Wakuu
wa Mikoa wa Zanzibar katika hafla iliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 3/12/2020.(Picha na Ikulu

WAKWANZA kutoka kushoto Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
Mhe.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar
Kabi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada
ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa wa Zanzibar aliowateua hivi karibuni, hafla
hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)WAKUU wa Mikoa Wapya wa Zanzibar wakifuatili kwa makini
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza
kuwaapisha katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3/12/2020.(Picha
na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...