KAMPUNI pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana kukonga nyoyo za mashabiki ni hii ya kufungia mwaka wa 2020 pamoja Infinix Fanfest na ya HOT 10 Rap Relay Challenge.

Tamasha la Infinx Fanfest lilijumisha wasanii na Fans kutoka nchi mbalimbali kwa pamoja walitengeneza video isiyopungua dakika 45 iliyoruka live @InfinixMobile ambapo kila mmoja aliweza kuonyesha uhodari wake ama wao kupitia kuimba, kucheza na jinsi ambavyo mashabiki walivyopata nafasi ya kushuhudia uwezo ya camera NOTE 8 night mode.

Kutoka nchini Tanzania Tamasha hili liliwakilishwa na msanii hemed (PHD) yeye alipata nafasi ya kuwafikia mashabiki wa Infinix kupitia wimbo wake pendwa wa Medicine na Kenya iliwakilishwa na msanii maarufu Octopizo yeye alijumuika na Fans wa Infinix na kuimba nao kwa pamoja.

Kwa ufupi night mode ni teknolijia inayopatikana katika kamera ya Infinix NOTE 8 yenye Megapixel 64 na sifa na kubwa ya night mode kupiga picha za usiku zenye uangavu na kuvutia lakini pia ukitembelea app ya Infinix Xclub utakutana na picha zilizopigwa kupitia teknolojia ya night model kupitia challenge ya FanFest ambapo mshindi alizawadiwa Infinix NOTE 8.

Kwa mwaka huu wa 2020 kupitia tamasha la FanFest na HOT 10 Rap Relay ambapo mshindi alizawadiwa Infinix HOT 10 na kuingia katika Guiness world record book. Hii ni ishara Infinix Mobility inatambua na kuthamini mchango wa mashabiki.

Jiweke karibu na Infinix tembelea https://www.instagram.com/infinixmobiletz/ https://www.infinix.club/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...