Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara
na Mazingira wakiwa wamesimama baada ya Kupokea taarifa ya Kifo cha
Mhe. Martha Jachi Umbulla aliyekuwa Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mkoa
wa Manyara kama ishara ya heshima huku kila mmoja akimuombea kimya
kimya katika Viwanja Vya Bunge jijini Dodoma, Leo Januari 21,2020.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...