Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William
Lukuvi akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu ya Wizara yake kwa
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii
katika kumbi za Bunge jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu Waziri wa
Ardhi Mary Makondo na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Angeline Mabula.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini
Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini
Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge
jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Utalii wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. William Lukuvi wakati akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu
ya Wizara yake katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...