Bruce Springsteen na Lady Gaga ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza hafla ya kuapishwa Joe Biden na makamu wake. Ifuatayo ni orodha ya wasanii wengine watakaohudhuria. 

Mwaka huu hakutokuwa na umati kushuhudia tukio hilo kutokana na janga la virusi vya corona pamoja na wasiwasi wa usalama hasa baada ya uvamizi uliofanywa kwenye majengo ya bunge mapema mwezi Januari. Biden ataapishwa katika hafla ya watu kidogo. Lady Gaga atatumbuiza kwa kuimba wimbo wa taifa .

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>>>

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...