Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe.
Mohamed Mchengerwa akiongoza kikao cha kamati hiyo na Watendaji Wakuu
kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, walioongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama leo
katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha maelezo ya Ofisi
ya Waziri Mkuu kuhusu Muundo na Majukumu ya Ofisi hiyo, Sera, Uratibu
na Bunge pamoja na Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu mbele ya
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria katika ofisi
za Bunge Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...