HUKO Betika mambo ni moto wala hayapoi,  kutoa mamilionea ndio kazi yao na sasa mshindi mwingine ameibuka kidedea akijichukulia kiasi cha Sh 1,000,000 kupitia Jackpot ileile rahisi zaidi ya Kitonga.

Mshindi huyo wa sasa anatoka Kanda ya kati Dodoma akifahamika kwa jina la Jordan Mwombeki Felix ambaye  ametumia kiasi cha Sh. 250 tu kutengeneza pesa ndefu ya sh 1,000,000 akicheza kirahisi.

 Ushindi wa Jordan umezidi  kutanua rekodi ya washindi kupitia Kitonga deile Jackpot.  Jordan ameungana na washindi  wengine akiwa mshindi wa 31 kushinda mkwanja huo  akitanguliwa na wengine 30 waliopatikana ndani ya mwezi Januari pekee.

Pesa bado ipo ya kutosha,  wewe ambaye hujashinda hujachelewa cheza sasa Kitonga Deile Jackpot uchukue chako mapema Utengeneze pesa ndefu kwa dau la  sh 250 tu.

Unachotakiwa kufanya kuingia  katika tovuti yetu ya www.betika.co.tz ukifika hapo gonga pale palipoandikwa Kitonga deile Jackpot kisha chagua mechi zako ambazo ni 8 tu na ushindi ni halali yako.

Usisite kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu Kitonga deile Jackpot na huduma zetu zingine kutoka Betika kupitia namba 0659070700.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...