Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua majengo mapya na upanuzi wa huduma Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita akiwa na Waziri wa Afya Dkt. Doroth Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo na viongozi wengine leo Jjumatano Januari 27, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe leo Jjumatano Januari 27, 202

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kutembelea sehemu mbalimbali za Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe wakati wa sherehe za ufunguzi wa Majengo Mapya na Upanuzi wa Huduma katika kituo hicho leo Jjumatano Januari 27, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe mara baada ya kufungua Majengo mapya ya Kituo cha Afya cha Masumbwe Mbogwe mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.

Wananchi wa Masumbwe wakishangilia wakati walipokuwa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufungua Majengo mapya ya Kituo cha Afya cha Masumbwe Mbogwe mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika picha ya kuchora aliyozawadiwa na kijana Emanuel Nande mkazi wa Mbogwe (kulia) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbogwe mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ili kufungua majengo mapya na upanuzi wa huduma katika Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita akiongozana na Waziri wa Afya,  Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo leo Jjumatano Januari 27, 2021

 

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...