Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka akionesha nyaraka akiwa na Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED Bw. Chris Von Christierson  (katikati) na afisa wa kampuni ya LZ NICKEL LIMITED baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika uchimbaji
wa madini ya Nickel huko Kabanga katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Bukoba mjini Bukoba leo Jumanne Januari 19, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka akibadilishana nyaraka na Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED Bw. Chris Von Christierson baada ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano katika uchimbaji wa madini ya Nickel huko Kabanga katika Wilaya ya Ngara mkoani Kagera kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Bukoba mjini Bukoba leo Jumanne Januari 19, 2021

Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko na Msajili wa Hazina Bw. Athumani
Mbuttuka (wa tatu toka kushoto walioketi) pamoja na wanasheria
wakishuhudia Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt Adelardus Kilangi na
Makamu wa Rais wa Kampuni ya LZ NICKEL LIMITED ya Uingereza Bw. Chris
Von Chritierson wakitia saini makubaliano ya pamoja ya ushirikiano
kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni hiyo
katika uchimbaji wa madini ya Nickel katika mgodi wa Kabanga wilayani
Ngara mkoa wa Kagera kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya Bukoba mjini Bukoba leo Jumanne Januari 19, 2021

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...