Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Baba Askofu wa Kanisa la
Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu  Michael Hafidh, alipofika
Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi huo leo
26-1-2021.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Baba Askofu wa Kanisa la
Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh (kulia kwa
Rais) akiwa na ujumbe wake Ndg.Edwin Mkwaya na Ndg.Luis Majaliwa,
walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
leo 26-1-2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la
Anglikana Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer na
(kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...