Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Mstaafu) ambae kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU-Institute of Public Accountability Mhe. Ludovick Utoh (kulia) akisalimiana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ( CAG) Charles Kichere(kushoto) alipotembea ofisi za Taasisi hiyo

Taasisi ya WAJIBU (Institute of Public Accountability) imepokea ugeni kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ( CAG) Charles Kichere leo tarehe 23 Februari, 2021 katika Ofisi za WAJIBU Mikocheni, Dar Es Salaam. 
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ( CAG) Charles Kichere(wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU-Institute of Public Accountability Mhe. Ludovick Utoh (wa pili kushoto)  wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya WAJIBU mara baada ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali kutembelea leo tarehe 23 Februari, 2021 katika Ofisi za WAJIBU Mikocheni, Dar Es Salaam. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...