Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoadhimishwa leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Ndugu. Ally Khamis Juma Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa Niaba ya  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kutambua mchango wake  uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Tuzo kwa Muwakilishi wa Kituo cha Clouds TV  Babbie Kabae kwa kutambua mchango Uliotukuka kwa Kituo hicho  kuweza kutoa Habari katika kusaidia Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Getrude Elias Maruma Mwanafunzi wa Chuo cha IFM kwa kuweza kujitokeza Hadharani kuelezea juu ya tatizo la  Ugonjwa Adimu aliouopa, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu” .(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Mhe. Faustine Ndungulile Waziri wa Sayansi na Teknolojia ya Habari kwa kutambua mchango wake  uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...