Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya akiwahutubia wafanyabishara wa mjini Njombe (hawapo pichani) katika ukumbi wa Turbo wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. 

Wafanyabiashara wa Mkoa wa Njombe wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mhandisi Marwa Rubirya (hayupo pichani) wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara hao iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.

Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.

Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika akiwasilisha mada kuhusu kodi na umuhimu wake wakati wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani Njombe.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Isihaka Shariff akimuelimisha mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Dinah Lwaga akimuelimisha Bw. Samwel Meshack ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Chama Siriwa akimuelimisha Bw. Stanley Ponela ambaye ni mfanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako mkoani Njombe wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani humo. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...