Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akizungumza cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuuyaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati wa hotuba zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi mbalimbali katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuuyaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru viongozi mbalimbali mara baada ya kumaliza kutoa hotuba yake katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuuyaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.

Baadhi ya Majaji wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akisoma hotuba yake katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuuyaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali mkoani Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...