Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya
Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake Kibele
Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia na
kuzungumza naye.

Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed
Shein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwake Kibele
kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye. (Picha na Ikulu.)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...