Timu ya Masoko na Uhusiano iliongozwa na Mkurugenzi wa Masoko wa UTT AMIS, Daud Mbaga (kulia), ilipomtembelea Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai  (wa pili kushoto) na kujadiliana kuhusu shuguli za Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS. Kushoto ni Afisa wa UTT AMIS kutoka Dodoma, Ahmed Salim na Afisa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Martha Mashiku. 

Timu ya wataalamu watakaotoa elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wabunge na watumishi wakiwa katika picha ya pamoja.

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akiwa katika banda la Kampuni ya UTT AMIS iliyopiga kambi katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kutoa elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wabunge na wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Afisa wa UTT AMIS, Abbas Kandila akitoa huduma kwa baadhi ya wabunge waliofika kupata elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja katika banda la Kampuni ya UTT AMIS.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...