Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally ambaye alichaguliwa na aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. Magufuli.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...