Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango akiapa kuwa Makamu wa Rais mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahimu Juma, leo Ikulu Chamwino jijini Dodoma.Uapisho huo umeshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...