Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara, Happiness Shuma akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tiketi Mtandao, itakayowezesha abiria wa mabasi  ya masafa marefu kulipia nauli zao kielektroniki kupitia simu zao za mkononi kupitia App ya Tiketi Mtandao na pia kwenye menyu ya M-Pesa. Mkutano huo uliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini  (LATRA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...