Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua na kufunga mkutano Mkuu wa tatu wa Wanawake katika Uongozi kwa mwaka 2021 na Mahafali ya 4,5,6 ya Programu ya  Mwanamke wa Wakati Ujao leo March 04,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam, ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ukuzaji wa Vipaji vya Mwanamke walio katika Uongozi ili kuwa na Mashirika Endelevu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Cheti Abella Tarimo Mwakilishi wa Benki ya NMB na Muhitimu wa Mafunzo ya  Programu ya  Mwanamke wa Wakati Ujao kwenye mkutano Mkuu wa tatu wa Wanawake katika Uongozi kwa mwaka 2021 na Mahafali ya 4,5,6 ya Programu ya  Mwanamke wa Wakati Ujao, leo March 04,2021 yaliyofanyika katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam, ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ukuzaji wa Vipaji vya Mwanamke walio katika Uongozi ili kuwa na Mashirika Endelevu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Cheti Neema E. Mbogo Muhitimu wa Mafunzo ya  Programu ya  Mwanamke wa Wakati Ujao kwenye mkutano Mkuu wa tatu wa Wanawake katika Uongozi kwa mwaka 2021 na Mahafali ya 4,5,6 ya Programu ya  Mwanamke wa Wakati Ujao, leo March 04,2021 yaliyofanyika katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam, ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ukuzaji wa Vipaji vya Mwanamke walio katika Uongozi ili kuwa na Mashirika Endelevu”.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...