Tunapoanza mwezi mpya wa Machi 2021, Mdundo umekuandalia mixtapes mpya mpya za kukusisimua na kukuchanagamsha unapoendelea na shughuli zako. Katika nakala hii, tunaangazia mixtapes tano mpya zilizo kwenye Mdundo Tanzania unazofaa kupakua na kuskiza mwezi huu: #Bongo# Mix hii ina ngoma kali kali kutoka kwa wasanii wa kizazi kipya kama vile; Mimi Mars, Jux, Darassa, Marioo, Rostam, Maua Sama na wengineo. Mixtape hii ina nyimbo zilizoachiwa hivi karibuni. Bongo Mix 2021 Hii mixtape pia ina midundo moto moto na inashirikisha wasanii toka eneo la Afrika Mashariki kama vile Arrow Bwoy, Rayvanny, Harmonize, Ibraah na wasanii wengine wengi.Nyimbo zilizo kwenye mix hii ni kama vile; Nimpende yake Ibraah, Jeshi yake Harmonize na nyimbo zingine. Bongo 2021 Mix Vol 1 Mix hii ni tofauti na zingine kwenye orodha hii kwani inamshirikisha msani tajika kutoka Nigeria Yemi Alade na wasanii wakubwa kutoka Kenya kama vile; Nadia Mukami, Willy Paul na Sauti Sol. Pia imewashirisha wasanii wa Bongo kama vile Aslay, Alikiba na Ommy Dimpoz. Taarab Mix Mix hii ina muziki nyororo wa Taarab utakao kufurahisha na kukufanya utulie na kupumzika.Wasanii walio kwenye mix ni kama vile; Kilimanjaro Band, Mzee Yusuf, Lady JayDee, Mzee Yusuf na wasanii wengine wengi. Singeli Mix Mixtape hii inaangazia nyimbo za Singeli ambazo zina umaarufu hasa kwenye vijiji za Tanzania. Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Jeusi MC, Bizz handsome, Buda Zoni na wengine wengi. Kupata mixtape zaidi tembelea ukurusa huu: https://mdundo.com/genres/245. Pia ukitaka kupata mixtapes za Mdundo kila siku kwa Tsh 100, jisajili hapa: https://mdundo.com/dl/1587643

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...