RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Msikiti Mabuluu Mfereji wa wima Wilaya ya Mjini Unhuja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti huo leo.5-3-2021.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mabuluu Mfereji wa Wima, Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti Mabuluu Mfereji wa wima Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Msikiti Mabuluu Mfereji wa wima Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 5-3-2021.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...