*Meridianbet, Nyumba Yenye Odd Bora na Bonasi Kubwa!


MERIDIANBET Inakupatia Fursa Ya Kutengeneza Pesa Kila Unapojiunga na Kubashiri Nasi! Je, Umejiunga na Meridianbet? Unajua kwamba Meridianbet wanakupa ofa kibao pindi unapofungua akaunti yako?  Karibu kwenye familia hii!

BONASI YA UKARIBISHO

Ukijiunga na Kasino ya Meridianbet, unapata ofa ya bonasi ya ukaribisho. Ndio, weka pesa angalau shilingi 35,000 Tsh na ubashiri mchezo wowote wa kasino ili tuweze kukuwekea bonasi ya shilingi 15,000Tsh ambayo itakuwezesha kufanya bashiri mbalimbali katika michezo ya Meridianbet. Kumbuka, ofa hiii ni ya muda maalumu.

Mara baada ya bonasi kuwekwa katika akaunti yako, utapokea ujumbe kupitia akaunti yako moja kwa moja. Bonasi hii itawekwa kila siku ya Jumanne baada ya kukamilisha usajili.


MACHAGUO YA MICHEZO KWENYE KASINO YA MERIDIANBET

Ndani ya Kasino ya Meridianbet, kuna michezo mingi kama vile; Hold’ Em Poker, huu ni mchezo maarufu sana wa kasino ulimwenguni. Tofauti na michezo ya kawaida, Hold’Em Poker inakupa nafasi ya kushinda mpaka Euro 25,000 kwa mchezo mmoja pekee.


Pia, Fairy in Wonderland ni moja ya michezo mingine inayopatikana katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Fairy in Wonderland inakupa burudani huku ukiwa na fursa ya kupata faida kubwa.


Ukiacha michezo ya kasino pekee, kuna michezo mingine mingi zaidi ya 25 ndani ya Meridianbet ambayo inakupa nafasi ya kutengeneza pesa. Kupitia Meridianbet, tengeneza faida kupitia soka, mpira wa kikapu, mbio za farasi, mbio za mbwa, keno, kriketi, mbio za magari (Formula 1), baseball, siasa, UFC, masumbwi, virtual football, volleyball na mingine mingi.


OFA KABAMBE KWENYE KASINO YA MERIDIANBET

Meridianbet inakupatia ofa ya mizunguko 50 ya bure ambayo itakuwezesha kucheza michezo ya kasino mara baada ya kufungua akaunti yako. Kumbuka, ofa hii itadumu mpaka Disemba 1, 2021. Unasubiri nini? Ingia mchezoni!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...