C:\Users\user\Downloads\Pumpkin-Patch_PR.png

Shinda na sloti Pumpkin Patch.

Mchezo wa Pumpkin Patch

KAMA ilivyoada kwa Meridianbet kukuletea michezo yenye bonasi kubwa, Odds kubwa na Promosheni za kumwaga. Wiki hii kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo wa kukata na shoka na utakao kutengenezea faida uitwao Pumpkin Patch.

Pumpkin Patch ni mchezo wenye maudhui ya siku ya Halloween uliotengenezwa na watengenezaji maarufu wa michezo ya kasino Habanero. Licha ya mchezo huu wenye maudhui ya siku maruhani (Halloween), Pumpkin Patch umekuwa ni mchezo unaochezwa zaidi kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Mchezo huu wa kusisimua una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo na kubwa Zaidi unakujia na jackpoti kubwa mbili. Unasubiri nini? Jiunge na familia ya mabingwa ya Meridianbet ili uweze kuwa mshindi.

Namna ya Kucheza Pumpkin Patch

Jinsi ya kucheza mchezo huu ni rahisi sana. Unachotakiwa kuwafanya ni kubofya 

Kitufe chenye neno *Spin kuanzisha mzunguko. Sloti ya Pumpkin Patch ina alama mbili kuu. 


Alama ya Boga linalo cheza likiwa kwenye kifukuzia kunguru na alama ya Wild. Ikiwa alama ya Kunguru ikaangukia pembeni ya Boga, itasababisha boga hilo kusambaa kwenye kolamu ya sloti na kutengeneza alama ya ushindi yenye kukuletea malipo ya kiwango kikubwa iitwayo Complex Wild.


Kama Kindi (Squirrel) akiangukia pembeni ya Boga, basi Boga hilo litabadilika na kuwa alama ya ushindi ambayo itakutea malipo mara mbili ya mwanzo iitwayo Wild.


Ndio! Ni Meridianbet pekee ndio inayo kuhakishia ushindi kwa kukupa Bonasi, Odds kubwa na Promosheni za kipekee. Sio hivyo tu, Kasino ya mtandani ya Meridianbet ya sloti ya Pumpkin Patch inakupa nafasi ya kushinda hadi mizunguko 30 ya bure na Jackpoti mbili kubwa na ndogo. Jiunge sasa kupitia https://www.meridianbet.co.tz na upate bonasi ya bure ya kuanzia. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...