Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Pauline Gekul (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya Michezo kwa watu wenye ulemavu Wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bi. Neema Msita  (kulia) akifafanua jambo kwa viongozi wa vyama vya Michezo kwa watu wenye ulemavu Wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Pauline Gekul na kushoto na kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu,  Bw. Tuma Dandi.

Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Pauline Gekul (kulia) akisisitiza jambo kwa viongozi wa vyama  vya Michezo kwa watu wenye ulemavu Wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya viongozi wa vyama vya Michezo kwa watu wenye ulemavu  wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Pauline Gekul (hayupo pichani)  Wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu,  Bw. Tuma Dandi (kushoto) akitoa neno  la shukrani  kwa Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Pauline Gekul  (katikati) mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa vyama vya Michezo kwa watu wenye ulemavu mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bi. Neema Msita.

 

Picha na WHUSM – Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...