BAADA ya kutangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais kwa awamu ya sita Rais wa Chad Idriss Deby (68,) amefariki dunia saa chache mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la nchi hiyo kupitia radio ya taifa imeelezwa kuwa Idriss amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata wakati akiamuru jeshi kupigana dhidi ya waasi Kaskazini mwa Sahel.

Deby aliyekuwa madarakani kwa miaka 30 alishinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 79.32 katika uchaguzi mkuu wa 11 uliofanyika Aprili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...