Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi, Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango na viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali akishiriki kuomba dua kabla ya kuanza kwa Kongamano la Viongozi wa Dini la Kuomuombea na Kuombea Taifa pamoja na kumshukuru Mungu kwa ajili ya Maisha ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Ukumbi wa Chimwaga jijini Dodoma leo Jumapili Aprili 18, 2021.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Aprili 18, 2021 ameungana na Viongozi mbalimbali wa Dini na Watanzania katika Kongamano la Viongozi wa Dini la kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Kongamano hilo limefanyika katika Ukumbi wa Chimwaga jijini Dodoma.






Baadhi ya watu wakifanya maombi ya Dua na Sala maalum katika Kongamano la Viongozi wa Dini la kumshukuru Mungu kwa maisha ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Kongamano hilo limefanyika katika Ukumbi wa Chimwaga jijini Dodoma na Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...