Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima,Leo amekutana na kufanya mazungumzo  na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Donold  Wright Kwenye ofisi za Wizara jijini Dodoma.

Katika mazungumzo yao wameongelea maeneo ya mashirikiano ikiwemo kuboresha afya ya watanzania pamoja na kuwawezesha vijana wa Tanzania kiuchumi.

Katika kikao hicho kilihudhuriwa na Manaibu Waziri Dkt.Godwin Mollel, Mhe. Mwanaidi Khamis pamoja na Katibu Mkuu-Afya Prof. Abel Makubi na Kamishana wa Ustawi wa Jamii Dkt. Naftali Ng'ondi.

 


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...