Kamishna wa Jeshi la Polisi Utawala na Menenjimenti ya Rasilimali watu CP Benedict Michael Wakulyamba akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polizsain Nchini AGP Saimon Siro ishara uzinguzi wa kituo cha Polisi wanamaji Itungu Wilaya Kyela Mkoani Mbeya kilicho jengwa na Bank ya TPB kwa gharamza ya zaidi ya shilingi milioni 48 ,wa tatu kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa bank ya TPB Ndugu Sabasaba Moshingi. .
Kamishna wa Jeshi la Polisi Utawala na Menenjimenti ya Rasilimali watu CP Benedict Michael Wakulyamba kulia na Ndugu Sabasaba Moshingi Mtendaji Mkuu wa Bank ya TPB wakifunua kitambaa ishara ya kuzindua kituo Polisi cha wanamaji cha Itungu Wilayani Kyela Mkoani Mbeya baada ya kufanyiwa ukaratabati na Bank ya TPB kwa gharamza ya zaidi ya shilingi milioni 48 nyuma yao ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela Cludia Kitta.



Afisa Mtendaji Mkuu wa bank ya TPB Ndugu Sabasaba Akizungumza na wananchi pamoja na Polisi kutoka Wilayani Kyela wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha jeshi la Polisi Wanamaji cha Itungi Wilayani Kyela kilichofanyiwa ukarabati na Bank ya TPB kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 48.

Kibao cha uzinduzi wa ukarabati wa Kituo cha Polisi Itungi baada ya kufanyiwa na Bank ya TPB kwa gharama ya zaidi ya milioni 48

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Urlich Matei akikabidhi taarifa ya Ukarabati wa Kituo cha Polisi cha Waanamaji Itungi Wilayani Kyela Mkoani Mbeya kwa Afisa Mtendahji Mkuu wa bank ya TPB Ndugu Sabasaba Moshingi kushoto ni Kamishna wa Jeshi la Polisi Utawala na Menenjimenti ya Rasilimali watu CP Benedict Michael Wakulyamba baada ya kufanyiwa ukabati na Bank ya TPB kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 48.
Baadhi ya polisi kutoka Kikosi cah FFU Mbeya wakiwasili katika Kituo cha Polisi cha Polisi wa wanamaji kilichofanyiwa ukarabati wa bank ya TPB kwa gharama yan zaidi ya shilingi milioni 4

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...