Muonekano wa majengo ya mradi wa Shirika la (WHC) uliopo Dege Kigamboni jijini Dar es salaam ambao Katibu Mkuu wa Wizara ya Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro aliutembelea  mwishoni mwa wiki iliyopita.

Baadhi ya watumishi wa shirika hilo walioambatana na Katibu Mkuu Wizara ya Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro wakati alipotembelea miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu wizara ya Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la WHC wakati alipotembelea nakukagua miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam mwishonimwa wiki iliyopita.

 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akipokelewa na Dk. Fred Msemwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Watumishi Housing Company Limited (WHC)wakati alipotembelea miradi wa Nyumba za shirika hilo zilizopo Magomeni na Dege Kigamboni jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Dk. Ndumbaro amelipongeza shirika hilo kwa ujenzi wa nyumba hizo kwani zaitapunguzo uhaba wa nyumba kwa watumishi huku akiwaeleza watumishi wa shirika hilo kuwa kila miradi inakuwa na changamoto zake hivyo kama kuna changamoto zozote wanatakiwa kuzifanyika kazi mapema ili miradi ifanyike kwa ufanisi zaidi.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akisa,imiana na wafanyakazi mbalimbali wa shirika hilo wakati alipofika kwenye mradi wa Maghorofa ya Magomeni jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, shirika hilo.wa Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Dk. Fred Msemwa wakati akiwatambulisha kwake wafanyakazi 

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akikagua jengo hilo eneo la juu kabisa huku akiongozwa na Dk. Fred Msemwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la (WHC)

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akimsikiliza Dk. Fred Msemwa Mkurugenzi wa Shirika la (WHC) wakati alipokagua miradi ya shirika hilo ya ujenzi wa nyumba  jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akimsikiliza Dk. Fred Msemwa Mkurugenzi wa Shirika la (WHC) wakati alipokagua eneo la biashara katika jengo la magomeni amba;o ni kati ya miradi ya shirika hilo ya ujenzi wa nyumba  jijini Dar es salaam aliyoitembelea.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mauzo wa Watumishi Housing Company (WHC), Raphael Mwabuponde akiwa pamoja na watumishi wenzake katika ziara hiyo ya Katibu Mkuu wizara ya Utumishi.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akimsikiliza Dk. Fred Msemwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la (WHC) wakati akitoa maelezo kwenye meadi wa nyumba za shirika hilo wa Dege Kigamboni jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...