Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu Msataafu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Kardinal Poycard Pengo wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la S.T Georseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Dar es salaam + Jude Thaddaeus Ruwa’Ichi’ wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la S.T Georseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,2021. kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Bachwezi Mpango.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...