Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa kukagua maandalizi hayo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.James Kajugusi akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama mpangilio na maendeleo ya maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Dkt. Halid Salim kizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kukagua maandalizi hayo.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.James Kajugusi akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama mpangilio na maendeleo ya maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
Vijana wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2021 wakifanya mazoezi wakati wa maandalizi hayo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama pamoja na watendaji wake wakikagua jukwaa wakati maandalizi ya kufikia siku uzinduzi wa Mbio za Mwenye wa Uhuru 2021 Zanzibar.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...