RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jiwe la Msingi la Masjid Shifaa baada ya kuondoa kipazia kuashirika kuufungua rasmin leo 7-5-2021, na (kulia kwa Rais) Mfadhili wa Ujenzi wa Msikiti huo Dk. Mohamed Saeed Mahfuodh na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Katiba,Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Masjid Shifaa Muembetanga (zamani ukijulikana kwa jina la Msikiti Maiti) (kulia kwa Rais) Mfadhili wa ujenzi wa Msjid Shifaaa Dk.Mohamed Saeed  Mahfoudh, Waziri wa Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa Sheik. Mwalim Abubakar Said (Mwalimu Abuu) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar Sheikh Abubakar Said (Mwalimu Abuu) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, Mfadhili wa Msikiti huo Dkt.Mohamed Saeed Mahfuodh na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman wakiitikia dua.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar baada ya kuufungua msikiti huo leo, kabla ya Sala ya Ijumaa

IMAMU Mkuu wa Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar Sheikh.Abubabar Said (Mwalimu Abuu) akizungumza na kutoa neon la shukrani, wakati wa hafla ya ufunguzi wa msikiti huo, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Shifaa Muembetanga Jijini Zanzibar, kwa ajili ya ufunguzi wa Msikti huo (zamani ukijulikana kwa jina la Msikiti Maiti) ufunguzi huo umefanyika leo 7-5-2021 kabla ya Sala ya Ijumaa.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...